Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Wakuu habari Kuna binti mmoja nilikuwa namfukuzia mwezi wa nne sasa, ni mdada anafanya kazi badarini Field ya shipping.
Lakini Jana nimeongea nae kwa Simu kwa mara nyingine Nikamwambia namuhitaji I need to build relationships then marriage soon as possible lakini jibu amelonipa leo asubuhi sija elewa ana maana ipi Kasema.
"sawa acha tuone"
Sasa apo sijaelewa alikuwa na maaan ipi