REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,295
- 11,586
Umeanza mahusiano na mwenza wako katika hali mbaya kiuchumi ila mkakuvumilian shida na raha mkawa pamoja, mkazaa watoto, mkalea mkaanza na kusomesha, watotommekuwa na ndoto nyingi sana hususani za kufanikiwa kimaisha mnatiana moyo tuvumilie ipo siku nasi tutapata
Siku moja unamfumania mwenzi wako akikusaliti unapatwa na hasira unasema kila mtu aende kivyake kweli mnachana haijapita wiki tangu muachane unapata nafasi ya kazi ambayo unamini kabisa hii nafasi inaenda badilisha maisha yangu ambayo kwa mda mrefu nimekuwa nikiwazia na mwenza wangu je, utarudi kwa mwenza wako ili mpoze maumivu na mfurahie ndoto zenu mlizo waza miaka na miaka au utamuacha aende ukiamini yeye pengine ndio ilikuwa nuksi mipango hakuwa sawa
Tiririka mdau