Hii imeniuma sana

Endelea kutafuta kwingine katika kila jambo Mungu huwa ana makusudi yake, good lucky huko kwingine kiongozi.
 

Hahahahahahaaaa:sly: hilo nalo linaweza kua neno, mda mwingine mtu hata kama una shida usijishushe kivileeeeeee hadi uonekane chokest.
 
Tafuta kwingine utapata kazi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pole sana ila utapata tu. Mimi binafsi nilikua intern kampuni private fulani hvi na wakatangaza kazi nkapiga interview hadi oral lakini ckupata japo nilkua najuana na mabosi na nafasi zilikua mbili. Badae nkifanya interview kwenye shirika la umma ambalo nilikua cmjui hata mfagizi nikapata na mshahara ni karibia mara mbili ya kule nilipokosa. Namshukuru MUNGU kwa kweli.
 
Hatakamaunaona umefanikiwa kufumba na kufumbua unashindwakuamini macho yako sikuhizi uhakika mpakaumeingizwa katika system ndioujiamini lasivyo unawezachomanauli na salio lako ukithani dili limenyooka kumbe???????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…