Hii imekaaje ?

Mwalimu wa hawa Viumbe alishatangulia mbele za haki,ndiyo maana hawajifunzi kipya majibu yao yote yanafanana.
 
mi kwa kweli nakupa fact we n wa saba..sasa km unataka mzigo chapa tuendelee kama huwezi sepa coz hii kitu ni kama halua haina makombo ati ukiiosha tu ishakuwa mupyaa
 
mi kwa kweli nakupa fact we n wa saba..sasa km unataka mzigo chapa tuendelee kama huwezi sepa coz hii kitu ni kama halua haina makombo ati ukiiosha tu ishakuwa mupyaa

Hahahahaha!!!!
 
na waifu wako alikuwa wa ngap kwako?
 
we unataka kikojoleo au unataka kujua we wangapi...chimba chini kinde chako uwe wa kwanza.
 
ungeambiwa wa 30 ungemwanzishia thread anakuambia wa 2 unaanzisha thread wewe unataka kuwa wa kwanza halafu ikusaidie nini sasa!!!!
 
Mm kila nilie date nae kama hana jina la mary bas ni mariarosa au rosemary hadi nkaogopa kwa kwel.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…