kitalembwa,
Sijakuelewa, unaposema kuwa ".... dada alionyesha ushirikiano, wakavua nk." ulikuwepo au nimaelezo toka kwa rafiki yako? Maana kama ulikuweoo, sijaelewa kwanini kuwepo kwa faragha ya mwenzako(ingawa ni chumba chako) lakini kama hukuwepo na maneno hayo ni maneno ya rafikiyo sidhani kama ni husara sana kuyaamini maana tayari uliamibi angekaa kwako siku tatu na sasa wewe unajua amekaa muda gani.
Mueleze wazi kuwa huhitaji kumuona (no matter how generous you were, hapo ndipo mwisho wako), hii tabia ya kujiumiza kichwa hivi huku unajua kabisa hachangii chochote na hajawa hata 'responsible' kidogo kuonyesha utu kuwa "nilisema siku tatu lakini kuna vitu kadhaa havijakamilika naomba niwepo kwa siku chache mf. 4 ndipo niondoke iwapo utaridhia".
Kwa maisha ya Mjini(kama ulivyosema), si rahisi kumhifadhi mtu kwa muda wote huo hasa kwa mtu ambaye ndiyo 'anaanza maisha'.
Finally, mueleze kabisa huhitaji kumuona baada ya siku kadhaa hayo mahitaji unayompatia kila siku ni bora umpatie hela ya nauli arudi alikotoka, akitaka kuendelea kukaa 'mjini' basi aitumie hiyo hela ya nauli uliyompa kujua ataishije, otherwise asije kwako...lakini akiondoka tu badilisha vitasa mkuu.