Hii imekaaje

mwambie nilikupa ushauri tu ambao wengi wangeupenda, lakini pia una hiari ya kuukubali na kuufuata, ama ukatafauta ushauri unaokufaa; wewe kama wewe ulifanya kazi yako vizuri! bravo.
 
hahaaha macho utayaacha wazi kwa ajili ya kuwinda mpenzi wa lafiki yako, ama?

nitatembeaje km nitafunika macho ndg, bac nitavaa mawani musiyaone kabisaaaaa, wataonihitaji wakaniulizie kwetu ndo watapata nafasi ya kuona uso na macho yangu
 
nitatembeaje km nitafunika macho ndg, bac nitavaa mawani musiyaone kabisaaaaa, wataonihitaji wakaniulizie kwetu ndo watapata nafasi ya kuona uso na macho yangu

Hatuhitaji kuona sura wala macho. Tunachokihitaji kwenu ni shape ya mtu, therefore tutakuhitaji tu kwa kuangalia shape yako
 
Hatuhitaji kuona sura wala macho. Tunachokihitaji kwenu ni shape ya mtu, therefore tutakuhitaji tu kwa kuangalia shape yako

wataka kunambia hata nikiwa na jisura afadhali ya pinda nikiwa na shepu kwako nitakuwa na soko tu eenh
 
Wanawake bhanaaa...mna kazi kweli ya kujikomboa akili zenu kwanza.
 
kumbe wapenda ile mizigo mikubwa mikubwa, ilojaziajazia neema za allah, nitakupeleka kwa wabantu, mie nimenyookeana tu

[/COLOR]

Haki yanani kwangu soko lako kubwa hapo kwenye blue
 
kumbe wapenda ile mizigo mikubwa mikubwa, ilojaziajazia neema za allah, nitakupeleka kwa wabantu, mie nimenyookeana tu

Nimesema napenda shape ya mwanamke lkn sijakuambia ni shape ya aina gani ninayoipenda. huwezi jua labda hiyo ya kwako ndio yanipa wazimu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…