Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 3,214 Reaction score 4,005 Jun 21, 2026 #21 Evelyn Salt said: Sa ugali ni kitu cha kukaribishwa na kula kweli? min -me Click to expand... Why not!
Evelyn Salt said: Sa ugali ni kitu cha kukaribishwa na kula kweli? min -me Click to expand... Why not!
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 3,214 Reaction score 4,005 Jun 21, 2026 #22 OgaBoy said: Ukiona hivyo jua hicho chakula ni haram au cha misukule Click to expand... Hata matunda na juisi??!
OgaBoy said: Ukiona hivyo jua hicho chakula ni haram au cha misukule Click to expand... Hata matunda na juisi??!
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,669 Reaction score 167,714 Jun 21, 2026 #23 Iyerdoy said: Why not! Click to expand... Hapana ni kudhulumu wanyama.....
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 3,214 Reaction score 4,005 Jun 21, 2026 #24 Evelyn Salt said: Hapana ni kudhulumu wanyama..... Click to expand... Lakini ujue Hiko ndo chakula rasmi cha kiserikali kwa binadamu esp. hapa Tz.
Evelyn Salt said: Hapana ni kudhulumu wanyama..... Click to expand... Lakini ujue Hiko ndo chakula rasmi cha kiserikali kwa binadamu esp. hapa Tz.
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 3,056 Reaction score 12,180 Jun 22, 2026 #25 Acha uchoyo mkuu chakula weka mezani kiwe kingi mi nile nikishiba niondoke maana ndio hitaji kubwa la mwanadamu.
Acha uchoyo mkuu chakula weka mezani kiwe kingi mi nile nikishiba niondoke maana ndio hitaji kubwa la mwanadamu.