Hardwaycomes
JF-Expert Member
- Dec 26, 2018
- 370
- 494
Hivi kama mpenzi wako anaongea sana kwa simu na rafiki yake wa jinsia tofauti ina maanisha nini hiyo?
Jamaa alikuwa anapitia simu ya manzi ake, amekuta kuna jamaa anaongea naye mpaka masaa 2 (kwa mara moja) mpenzi mtu anasema "we are just friends"
Hiyo si mara moja,madai ya binti ni kwamba "wamezoeana kwa story tu"
Huyu jamaa anajiuliza hii imekaaje?