Hii imekaaje eti?..

saly91

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
86
Reaction score
27
Wadau habari za mishughuliko,
kuna hii ishu ya online jobs.Napata message kila saa kwenye gmail account yangu nazipuuziaga lakin sasa naanza kuvutiwa.Hivi kazi za kufanya online kama translator jobs,data entry na zingine zipo kweli ?au hizi messages za invitations nazopata kila siku ni spam?Nimetokea kuvutiwa coz naziona simple and kwa mtu anaependa kukaa online mda mwingi inafaa coz unafanya huku ukiwa na shughuli zingne kama uko ofisini au hata ukiwa nyumbani.Sasa cha kushangaza lazima ilipie kiasi flani in dollars ili uwe member kwa paypal au mastercard.sasa apo ndo napochokaga.hii imekaaje eti?hizi jobs zipo kwel?au blah blah tu kujipatia pesa kwa watu.
 
Jaribu uone kama imekaa au imesimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…