Hii ilikuwa ni BAN au ??

Kremme

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
471
Reaction score
496
Hbr leo asbh kila nikijaribu kutaka kupost nakutana na ujumbe, u dont have enough permission kupost au kukomment, sasa sikujua ndo ban au kosa lipi, naona jioni muda huu ndo imekubali.
 
ulikuwa ushaswaki? pengine habari yako ilikuwa na harufu au maneno machafu kidogo
 
ulikuwa ushaswaki? pengine habari yako ilikuwa na harufu au maneno machafu kidogo
Hapana, jana nilicomment ile ya ndodi, kuwa alikuwa anatibu malaria kwa malimao. Ningekuwa na uwezo kuwauliza moderator wafafanue what happened.
 
Hapana, jana nilicomment ile ya ndodi, kuwa alikuwa anatibu malaria kwa malimao. Ningekuwa na uwezo kuwauliza moderator wafafanue what happened.
Huyo jamaa yuko wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…