grndossy JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 311 Reaction score 80 Apr 16, 2012 #1 Naleta hii changamoto wakuu, ina ukweli kiasi gani?
M Marie marie Member Joined Apr 8, 2012 Posts 27 Reaction score 3 Apr 16, 2012 #2 Ukweli mtupu,twaoga kwenye mito na kuachia haja zetu,mito hyo hyo twategemea kupata drinking water..tehe
Ukweli mtupu,twaoga kwenye mito na kuachia haja zetu,mito hyo hyo twategemea kupata drinking water..tehe
saitama_kein JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 981 Reaction score 100 Apr 16, 2012 #3 grndossy said: View attachment 51833Naleta hii changamoto wakuu, ina ukweli kiasi gani? Click to expand... Ndo ukweli wenyewe huo...
grndossy said: View attachment 51833Naleta hii changamoto wakuu, ina ukweli kiasi gani? Click to expand... Ndo ukweli wenyewe huo...
M makumvi Member Joined Mar 26, 2012 Posts 97 Reaction score 16 Apr 16, 2012 #4 Hii ni kweli kabisa kwenye inchi za wenzetu wanatumia technology ya kuchuja maji taka na kuyatumia tena.
Hii ni kweli kabisa kwenye inchi za wenzetu wanatumia technology ya kuchuja maji taka na kuyatumia tena.
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 13,034 Reaction score 24,890 Apr 16, 2012 #5 Teh teh, ni ukweli mtupu mkuu. Kinachotakiwa ni technology itakayotuwezesha kupata maji salama. Wenzetu hili swala wamelipa kipaumbele sana kiafya. Tanzania bado na watu wanajisifu kwa miaka 50 teh teh..
Teh teh, ni ukweli mtupu mkuu. Kinachotakiwa ni technology itakayotuwezesha kupata maji salama. Wenzetu hili swala wamelipa kipaumbele sana kiafya. Tanzania bado na watu wanajisifu kwa miaka 50 teh teh..
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Apr 16, 2012 #6 Kweli kabisa, na kwamba duniani maji hayaongezi wala kupungua. yanazunguka tu.
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Apr 16, 2012 #7 mungu alishaumba maji siku nyingi hajawahi kuumba tena ni kama cycle.evaporation, condensation saturation kama sijasahau jiografia yangu.
mungu alishaumba maji siku nyingi hajawahi kuumba tena ni kama cycle.evaporation, condensation saturation kama sijasahau jiografia yangu.