Shikamoo mwalimu, nikukosoe kidogo.
Hatusemi "through out of the year" bali tunasema "throughout the year". Mwalimu mwenzako alinifundisha hivi.
Kuhusu kusimamia uchaguzi, huwa mnataka wenyewe tena mnakimbilia hizo nafasi kupeana mapande kwa kujuana mara nyingine. Hakuna anayewashikia bunduki kuwa ni lazima msimamie ni marupurupu huwapeleka uko. Si huwa mnaandika maombi au sivyo?
Hilo la balozi wa mazingira unahisi kwa nini awe mwalimu, ili uwe balozi yafaa uwe popular au celebrity. Alafu hii nchi walimu mbona wanachukua nyadhifa kubwa. Marais wawili waliwahi kuwa walimu.
Naona kama vile umevaa sare ya CCM, ina wenyewe hiyo.