Hii hali ya hewa Tukuyu inanifanya nisitoke nje!

Sasa wengine ambao tumejipanga kuja fanya kazi (field) huko Mbeya na Makambako mwezi huu wa August sijui itakuwaje. Outdoor works may be difficult to implement. Tunashukuru sana mdau.
 
Sasa chukua hali ya hewa ya hapo ufananishe na Tabora. Utadhani Tbr imelaaniwa.
 
hapo kama maeneo ya Msasani karibu na chuo cha ualimu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…