Hii haikubaliki


hizi adhabu bdo zpo kwel, mböna madogo kitaa jeuri sana, coz nakumbuka ticha angu mmoja alikuwa anakutumbukiza kichwa kwenye dawati, miguu unafungwa kamba halafu anachapa had achoke mwenyewe...kesho yake unaamka unaimba kanuni za maumbo yote bla kusita.
 
huja sikia story ya mbeya?shule ina chumba kina itwa guantanamo
 
Wakati mwingine adhabu kama hizi ni mazoezi ya kutosha na huongeza uelewa na adabu...ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Hili swala la adhabu watu wa haki za binadamu wameingilia na kulipigia kelele sana, Imefika mahali hawataki watoto waende shule na fagio na makopo ya kumwagia maji maua.

Swali la kujiuliza, Je nani atafanya usafi mazingira ya shule? Mtoto atajuaje umuhimu wa kufanya usafi wa kwake binafsi na mazingira kwa ujumla? Unakuta jumatatu na alhamis mtoto shati chafu utadhani hatoki nyumbani.\

Shule yenyewe inakuwa Tandale shule ya msingi au Shule ya msingi Mtongani, Hiyo Ada mzazi matatizo, mchango wa mlinzi wa shule mbinde kuchangia.

Sembuse Kuweka kampuni ya ufagizi shuleni kama shule za Watakatifu.

Wanahakati wa haki za binadamu sijui wanatupeleka wapi katika hili?
 
du hatari enzi nlipokuwa JKT iliitwa kubeba dunia kuruta walipata vipara vya muda.
 
Hii ndio itarudisha adabu kwa kizazi hiki kinachojiita eti cha digitali...digitali wapi... kwanza hapo ilikuwa kichwa kiwe kwenye MKUKI....WE NEED RESPECT BACK....
 
Push ups za shingo kama hizi alikua anazifanya sana Mike Tyson.
 
hakuna cha haki nyingine ni fujo tu waonekane nao wanafanya kazi ila hiyo hapo juu sijaipenda kwa dunia ya leo mtoto aweza kuwa nunda akaja nipiga namimi siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…