nshimiyimana Member Joined Oct 18, 2014 Posts 40 Reaction score 25 Oct 19, 2014 #21 msihukumu jamani maradhi hayana mwenyewe tumuombee
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Oct 19, 2014 #22 Hui mbona no ugonjwa wa Ngozi tu,pole sana
Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,976 Reaction score 2,173 Oct 19, 2014 #23 Naona hata mwili wake kwa ujumla umedhoofu, nafikiri anasumbuliwa na kisukari kama alivyokuwa ametangazwa hapo awali alopienda Loliondo kupata kikombe View attachment 194632
Naona hata mwili wake kwa ujumla umedhoofu, nafikiri anasumbuliwa na kisukari kama alivyokuwa ametangazwa hapo awali alopienda Loliondo kupata kikombe View attachment 194632
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,109 Reaction score 859,338 Oct 19, 2014 Thread starter #24 Mama Mdogo said: Naona hata mwili wake kwa ujumla umedhoofu, nafikiri anasumbuliwa na kisukari kama alivyokuwa ametangazwa hapo awali alopienda Loliondo kupata kikombe View attachment 194632 Click to expand... Yeah ana kisukari cha muda mrefu na ni wengi mno hapo mjengoni, kama si kusaliti mageuzi na upinzani angekuwa shujaa wetu nambari moja Lakini bahati mbaya shekeli ilimkengeusha na sasa hatakuwa sehemu ya historia, vitakapoandikwa vitabu vya mageuzi
Mama Mdogo said: Naona hata mwili wake kwa ujumla umedhoofu, nafikiri anasumbuliwa na kisukari kama alivyokuwa ametangazwa hapo awali alopienda Loliondo kupata kikombe View attachment 194632 Click to expand... Yeah ana kisukari cha muda mrefu na ni wengi mno hapo mjengoni, kama si kusaliti mageuzi na upinzani angekuwa shujaa wetu nambari moja Lakini bahati mbaya shekeli ilimkengeusha na sasa hatakuwa sehemu ya historia, vitakapoandikwa vitabu vya mageuzi