Hii gonjwa hii

Waislmu waliwahi kumkalia kikao cha itikafu huyu Mueshimiwa...Dua yao walimuomba Allah amshushe chini taraatibu...sasa sijui kama ilikubalika au vipi?
 
Hayo siyo ukurutu ni mapunye au mabaranga na hayo huwa hayana dawa hayo ndo forrevar
 
Nadhani hayo si usoni tu, ni mwili mzima, tunayaona hapo kwa kuwa hapafunikwi tu.
 
...dadeki,tuombe Mungu asigeuke chui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…