Jamani naomba msaada kwa anayefahamu,kwa gari hii aina ya Toyota Harrier,itanigharimu shilingi mpaka kuitoa bandarini na kuwa nayo mkononi?na kwa wataalamu wa magari je gari hii ni si mtumiaji mkubwa wa mafuta?Msaada tafadhari!!!!!
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD] Model: [/TD]
[TD] TA-ACU15W [/TD]
[TD] CC: [/TD]
[TD] 2400 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Transmission (Gear): [/TD]
[TD] AT [/TD]
[TD] Color: [/TD]
[TD] Black/Silver [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Drive: [/TD]
[TD] 4WD [/TD]
[TD] Door: [/TD]
[TD] 5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Steering Wheel: [/TD]
[TD] RHD [/TD]
[TD] Body Style: [/TD]
[TD] SUV [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Fuel: [/TD]
[TD] Petrol [/TD]
[TD] Mileage: [/TD]
[TD] 109000 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Engine Type: [/TD]
[TD] 2AZ [/TD]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100, align: left"]
[TR]
[TD][/TD]FOB Price:
[TD][/TD]US$ 4,200
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]Points Benefit:
[TD][/TD]US$ 0.00
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]Freight:
[TD][/TD]US$ 1,050
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]Vanning:
[TD][/TD]US$ 0
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]Inspection:
[TD][/TD]US$ 300
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkuu huwezi pata Harrier kwa 9MTayarisha mil 9 tu
Tayarisha mil 9 tu
Kwa uzoefu wangu gari ya 2001 m 22 sio kweli dubei awiri gari kama hiyo ni us3000 hasa ukizingatia, mwaka ni ya zamani sana
Duh mkuu unaongelea Harrier au Rav4.. hio dollar elfu3 hata Rav4 ya 1995 hupati. Siamini kama kweli una uzoefu na magari. Kumbuka Dubai gari zinatokea japan kwahio bei huwa ni kubwa zaidi na ukikuta bei ndogo jua gari mbovu hio..
Mie mwaka huu alone nishaagiza gari 9, wewe mkuu ushaagiza ngapi?
Kwa uzoefu wangu gari ya 2001 m 22 sio kweli dubei awiri gari kama hiyo ni us3000 hasa ukizingatia, mwaka ni ya zamani sana
Kwa uzoefu wangu gari ya 2001 m 22 sio kweli dubei awiri gari kama hiyo ni us3000 hasa ukizingatia, mwaka ni ya zamani sana
http://www.beforward.jp./stocklist/make=1/veh_type=/fuel=/drive_type=/model=181/veh_type_sub=/steering=/mission=/fob_price_from=/fob_price_to=3500/mileage_from=/mileage_to=/cc_from=/cc_to=/color=/seats_from=/seats_to=/mfg_year_from=/mfg_year_to=/area=/dcper_min=/dcper_max=/keyword=/more_acce=2/view_cnt=25/page=1/sortkey=e/Naapa kwa jina la Marehemu babu yangu hakuna Harrier ya 3,000USD.. Pengine binaadamu wenye uzoefu na pikipiki hudhani kuwa hata magari is the same price.
Samahanini kwa kuapa. Be serious jamani.
Asante kwa kutoa ufafanuzi... ni sawasawa na tofauti ya bei kati ya same cars zenye engine ya D4 na VVTi.. huwa hawaelewi haya mambo kwahio ukiwatajia bei za magari hudhani wanaibiwa bila kufanya researchDubai Al Aweer gari kama hilo si bei hiyo,ila likiwa na 6 cylinder pamoja na 3000cc wawezapata kwa bei hiyo uliyosema mpaka $4500 maana Harrier ya sifa hizo sokoni zipo chini kutokana na demand ndogo ya wateja.Hiyo ya jamaa hapo juu sijui ni ya mwaka gani lakini kama ina uchakavu awe na 7.2ml kama kodi pekee bado gharama nyingine
Mkuu huwezi pata Harrier kwa 9M
mh we jamaa acha uongo, hata sio atapata iliyopata ajali
Naapa kwa jina la Marehemu babu yangu hakuna Harrier ya 3,000USD.. Pengine binaadamu wenye uzoefu na pikipiki hudhani kuwa hata magari is the same price.
Samahanini kwa kuapa. Be serious jamani.