fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,890
Usiisahau jambo na vijamboZaidi ya Mizengwe hakuna comedy nyingine ninayoangalia
Watu wa dar mmezidi,vipindi mnavyoangalia ni taarabu na mapishiWatu wa mikoani mmezidi sasa sio kila kipindi lazima muangalie