Hii Dhabi Mungu angeifuta tu.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[HASHTAG]#FreeMaxencemello[/HASHTAG]
 
kapime Viroboto ndugu maana nilikutana na mtaalamu mmoja wa Mahabara Akaniambia wengi wa wanafunzi wana Viroboto.

Maana asilimia kubwa walizaliwa navyo kutoka kwa wazazi wao na wengi hawajijui.

Kwa hiyo ndugu kajikague maana ukijidai wewe ni Alwatani wa Papuchii Ujue Utaliwa Pilau.
 
BILA SHAKA UNAHOFU YA KWENDA KUPIMA KUTOKANA NA MAPITO ULIYOPITA..MWISHO NIKUSHAURI FANYA TOBA MANA DAH UMETISHA YAN MTU UNA DO HAD UNAJISHTUKIA MWENYEWE
 
Anayekuwezesha wewe kunya,kuoji Mungu ni nani, Kujitoa ufahamu nk.
Ndio hapo hapo waislam nawaona hamnazo mnaamin Mungu anauwezo wote lakin hamwamin kuwa anaweza akaamua kuwa binadam. Ndio maana nikakuuliza Mungu ninan coz Kama ni tofauti na huyu tumjuaye ni kweli hawez
 
Mungu hadhiakiwi,Apandacho mtu ndicho atakachovuna .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…