Head prefect
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 225
- 108
asante mkuuIngia chuo husika udownload kitu kinaitwa prospectus na undergraduate syponsys hapo utaelewa kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuuhii ni kutunza kumbukumbu za officen ila sijui kama itakuja kuwa na soko maana tunakoelekea mabos wanafanya mambo yao kwenye electronic devices sasa hata data anaweza weka Kwa flash akasave ela ya mpanga mafile officen kwake
Nakuja mkuuHiyo ya rekodi ni utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka mbalimbali.
Kwa sasa ina ajira. Hivi SUA nao wanaifundisha kumbe!!!!
NIlijua ni kule Mzumbe tu.
All in all karibu Mzumbe, hutajuta ila uandae msuli wa kusoma, hapa unakuja kusoma sio kuchukua degree. Karibu sana MU usome kwa maendeleo ya watu
Dogo aliyechaguliwa hii anahisi atakuwa engineer flani hiviMazingira,anaeisoma anakua environment expert.Course za namna hii chagua kama unamatokeo mabovu zinasumbua sana
Env Health ina uwanja mpanaMie nimechaguliwa Muhimbili Environmental health na SUA Agricultural Economics and Agribusiness nikasome kozi ipi wadau?
Are you sure ukiwa na matokeo mabovu ndo uchague Mkuu?Mazingira,anaeisoma anakua environment expert.Course za namna hii chagua kama unamatokeo mabovu zinasumbua sana