britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,209
- 48,376
Acha uongo basi wewe mjamaa...mama ameongelea mkopo wa kujenga reli wa zaidi ya trillion 14 aliosaini leo...kuwa utalipwa ndani ya miaka 20. Hebu niambie leo ameongelea wapi mkopo wa covid wa trillion 1.3?Habari wana jamvi nilikuwa na Majukum huku North Korea nikapata Furaha Kupitia YouTube video mama amefafanua leo kuhusu 1.3T tulizokopa binafsi nimeona Kuna jambo ambalo watz tunaumizwa pasi sisi kujua kwa sababu za kisiasa za kikundi fulani.🤔
Mama amesema tumepewa Concessional Loan ya miaka 20 na tunajua Tumekopa kujenga madarasa (Yaan hiii ndio ilikuwa amri ya mkopeshaji)... Yaan umekopa to sustain free service deliverance na wamekupa miaka ishirini ya kuwalipa. Sisi tunaoelewa Conscession Loans ambazo ni either interest free/discounted, au la longer grace periods na zikiwa aimed kubeba sera fulani (Mfano hii lazima ujenge madarasa tu) zinakuwa na ubaya wake btw. Umejiuliza Kwa nini wasiruhusu tumalizie stigglers gorge? Au SGR? Au tu hata kuboresha Tanesco? Au hata kujenga hospitali?
Ni kwa sababu Sababu wana lengo la kuendelea kukufanya mtumwa... Wameshajua shule Tanzania ni bure wanataka ukajenge shule kwa kuwa hutaweza kulipa kupitia shule(Na kihasibu hili ni kosa, kukopa kwenda kuinvest kwenye non paying business ventures).
Wazungu wana akili sana. Sisi huku tunakaa kupiga makofi ya kusifu kuwa tumepewa miaka ishirini bila kujiuliza source of repayment of the facility na amortization factor yake na njia ipi ya concession tumepewa ili kulipa huo mkopo?
Hapa ni kuna uhasibu zaidi ila sio kila concession Loan ni ya kuichukua. Binafsi naona kwa sababu za kampeni(Kisiasa) wenye mamlaka wameamua kuchukua huu Mkopo na leo nasikia wazungu wametuongeza tena dola milioni 375 kwa mujibu mama.
Yaan tuna safari ya kuienda. Na ndefu Sana
Eti ni muda mrefu inakuumiza nini......[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2],bora umefafanua watu wajueHabari wana jamvi nilikuwa na Majukum huku North Korea nikapata Furaha Kupitia YouTube video mama amefafanua leo kuhusu 1.3T tulizokopa binafsi nimeona Kuna jambo ambalo watz tunaumizwa pasi sisi kujua kwa sababu za kisiasa za kikundi fulani.[emoji848]
Mama amesema tumepewa Concessional Loan ya miaka 20 na tunajua Tumekopa kujenga madarasa (Yaan hiii ndio ilikuwa amri ya mkopeshaji)... Yaan umekopa to sustain free service deliverance na wamekupa miaka ishirini ya kuwalipa. Sisi tunaoelewa Conscession Loans ambazo ni either interest free/discounted, au la longer grace periods na zikiwa aimed kubeba sera fulani (Mfano hii lazima ujenge madarasa tu) zinakuwa na ubaya wake btw. Umejiuliza Kwa nini wasiruhusu tumalizie stigglers gorge? Au SGR? Au tu hata kuboresha Tanesco? Au hata kujenga hospitali?
Ni kwa sababu Sababu wana lengo la kuendelea kukufanya mtumwa... Wameshajua shule Tanzania ni bure wanataka ukajenge shule kwa kuwa hutaweza kulipa kupitia shule(Na kihasibu hili ni kosa, kukopa kwenda kuinvest kwenye non paying business ventures).
Wazungu wana akili sana. Sisi huku tunakaa kupiga makofi ya kusifu kuwa tumepewa miaka ishirini bila kujiuliza source of repayment of the facility na amortization factor yake na njia ipi ya concession tumepewa ili kulipa huo mkopo?
Hapa ni kuna uhasibu zaidi ila sio kila concession Loan ni ya kuichukua. Binafsi naona kwa sababu za kampeni(Kisiasa) wenye mamlaka wameamua kuchukua huu Mkopo na leo nasikia wazungu wametuongeza tena dola milioni 375 kwa mujibu mama.
Yaan tuna safari ya kuienda. Na ndefu Sana
Lini Watoto waliacha kusoma?Kwa hiyo ulitaka watoto wasisome?
Japo sijaiona hiyo habari ya leo kuhusu kukopa na kujenga shule, ila ningependa nikujibu kwa nini Wazungu ni rahisi kutoa misaada, mikopo ya riba nafuu na mikopo ya bila riba katika elimu yetu.Habari wana jamvi nilikuwa na Majukum huku North Korea nikapata Furaha Kupitia YouTube video mama amefafanua leo kuhusu 1.3T tulizokopa binafsi nimeona Kuna jambo ambalo watz tunaumizwa pasi sisi kujua kwa sababu za kisiasa za kikundi fulani.[emoji848]
Mama amesema tumepewa Concessional Loan ya miaka 20 na tunajua Tumekopa kujenga madarasa (Yaan hiii ndio ilikuwa amri ya mkopeshaji)... Yaan umekopa to sustain free service deliverance na wamekupa miaka ishirini ya kuwalipa. Sisi tunaoelewa Conscession Loans ambazo ni either interest free/discounted, au la longer grace periods na zikiwa aimed kubeba sera fulani (Mfano hii lazima ujenge madarasa tu) zinakuwa na ubaya wake btw. Umejiuliza Kwa nini wasiruhusu tumalizie stigglers gorge? Au SGR? Au tu hata kuboresha Tanesco? Au hata kujenga hospitali?
Ni kwa sababu Sababu wana lengo la kuendelea kukufanya mtumwa... Wameshajua shule Tanzania ni bure wanataka ukajenge shule kwa kuwa hutaweza kulipa kupitia shule(Na kihasibu hili ni kosa, kukopa kwenda kuinvest kwenye non paying business ventures).
Wazungu wana akili sana. Sisi huku tunakaa kupiga makofi ya kusifu kuwa tumepewa miaka ishirini bila kujiuliza source of repayment of the facility na amortization factor yake na njia ipi ya concession tumepewa ili kulipa huo mkopo?
Hapa ni kuna uhasibu zaidi ila sio kila concession Loan ni ya kuichukua. Binafsi naona kwa sababu za kampeni(Kisiasa) wenye mamlaka wameamua kuchukua huu Mkopo na leo nasikia wazungu wametuongeza tena dola milioni 375 kwa mujibu mama.
Yaan tuna safari ya kuienda. Na ndefu Sana
Watoto wanasoma au wanaenda shule kukua??Kwa hiyo ulitaka watoto wasisome?
Mkuu ushawahi kutembelea shule ukaona Watanzania wanayofundishwa?? Hile sio Elimu ya kumkomboa mtu. Ni takatakaJapo sijaiona hiyo habari ya leo kuhusu kukopa na kujenga shule, ila ningependa nikujibu kwa nini Wazungu ni rahisi kutoa misaada, mikopo ya riba nafuu na mikopo ya bila riba katika elimu yetu.
Hii hali ilikuwepo tangu enzi za Kikwete, Wazungu kufadhili elimu yetu.
Nachowaza, Wazungu wameishagundua, Watanzania wengi ni wajinga kwa sababu ya kukosa elimu. Hali hii imepelekea wananchi kufanyiwa mambo ya hovyo, na hawahoji. Hili linawakera Wazungu sana.
Baada ya Wazungu kugundua, tatizo la Watanzania ni kukosa elimu, basi Wazungu wamekuwa wepesi sana kufadhili elimu yetu. Rejea Equip, World Bank, IMF etc.
Wazungu wanaamini, wakifadhili elimu ya Tanzania, basi Watanzania wengi wataelimika na hivyo kileta mabadiliko chanya katika nyanja za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Viongozi wa Tanzania hasa wa CCM wanalijua hili, ila hawana namna kwa sababu wanabanwa na masharti ya mikopo. Viongozi hasa wa CCM wanajua kwamba, anguko la CCM ni pale ambapo Watanzania wengi watapata elimu na kujitambua.
Mama Samia yupo sawa kabisa kukopa na kuboresha elimu, kwa sababu elimi ndio ufunguo wa maisha, ila wale waroho wa madalaka hawapendi kuona Watanzania wanajitambua.
Kwahiyo, tukope tuboreshe elimu yetu, ili baadae tuwe raia wawe majasiri wa kuwakaba mashati viongozi wabadhilifu.
Binafsi napendekeza, tujikite kukopa na kuboresha elimu kwanza kwa gharama yoyote ile.
Mikopo ya kuboresha uchumi huishia kwenye matumbo ya baadhi ya viongozi, lakini mikopo ya kielimu, matokeo tutayaona tu baada ya miaka kadhaa, pale vijana watakapojitambua na kuanza kuwabana viongozi wao.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umeokoteza vijilawama visivyo na mantiki. Kifupi umetoa pumba tu. Kuna ubaya gani serikali ikiboresha huduma za jamii kwa mikopo? Si ndio maendeleo ya watu hayo? Una jingine?Habari wanajamvi,
Nilikuwa na Majukum huku North Korea nikapata Furaha Kupitia YouTube video mama amefafanua leo kuhusu 1.3T tulizokopa binafsi nimeona Kuna jambo ambalo watz tunaumizwa pasi sisi kujua kwa sababu za kisiasa za kikundi fulani.🤔
Mama amesema tumepewa Concessional Loan ya miaka 20 na tunajua Tumekopa kujenga madarasa (Yaan hiii ndio ilikuwa amri ya mkopeshaji). Yaan umekopa to sustain free service deliverance na wamekupa miaka ishirini ya kuwalipa. Sisi tunaoelewa Conscession Loans ambazo ni either interest free/discounted, au la longer grace periods na zikiwa aimed kubeba sera fulani (Mfano hii lazima ujenge madarasa tu) zinakuwa na ubaya wake btw. Umejiuliza Kwa nini wasiruhusu tumalizie stigglers gorge? Au SGR? Au tu hata kuboresha Tanesco? Au hata kujenga hospitali?
Ni kwa sababu Sababu wana lengo la kuendelea kukufanya mtumwa. Wameshajua shule Tanzania ni bure wanataka ukajenge shule kwa kuwa hutaweza kulipa kupitia shule (Na kihasibu hili ni kosa, kukopa kwenda ku-invest kwenye non paying business ventures).
Wazungu wana akili sana. Sisi huku tunakaa kupiga makofi ya kusifu kuwa tumepewa miaka ishirini bila kujiuliza source of repayment of the facility na amortization factor yake na njia ipi ya concession tumepewa ili kulipa huo mkopo?
Hapa ni kuna uhasibu zaidi ila sio kila concession Loan ni ya kuichukua. Binafsi naona kwa sababu za kampeni(Kisiasa) wenye mamlaka wameamua kuchukua huu Mkopo na leo nasikia wazungu wametuongeza tena dola milioni 375 kwa mujibu mama.
Yaani tuna safari ya kuienda. Na ndefu Sana