Hii computer icone zinaonekana kwa mbali

alet

Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
81
Reaction score
62
Poleni na majukum wana Jf.

Nina Dell e1505 nikiiwasha sreen yake inakua giza kiasi kwamba icone zinaonekana kwa mbali, aidha hadi niimulike screen na tochi ndio ninaziona icone.

Nimeongeza mwanga kwenye screen hadi mwisho lakin bado mwanga umeongezeka kwa kiasi kidogo sana.

Naombeni msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…