komba05
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 367
- 293
Habari vipi wakuu?? Nilikuwa nachek itv mida fulani naona wakaweka ile tamthilia ya Wakenya ya cobra squad, niliwahi kuichek kipindi fulani but kwa sasa naanza kuielewa coz walipata support kubwa katika udhamini na uongozaji, lakini ki ukweli sijaona maartist walioweza kufanikisha kuicheza ipasavyo! Yaani walau hata mchongo ule ungempata J plus au seba( nacheka kwa sauti) africa kwa actions movie tusubiri kidogo kwa kweli bado!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app