hii chelsea ya msimu huu..!!

Siyo Chelsea, Man united au Man city mtakao sumbua kwenye epl... Mwaka huu ni wa spurs na liverpool na Arsenal kwa mbali. Niwaambieni kwa nn? Spurs na liverpool wamefanya usajili mzuri, hawajafanya mabadiliko ya makocha. Man u man city na chelsea wote wamebadili makocha. M2 kama moyes hafiti kwa clab kubwa kama Man united, ameenda pale kwa kubebwa na furguson. Vilab vya chelsea na man city wao wanaangalia kocha anayevuma ndo wanampa ajira. Usishangae kwa zaidi ya mwongo mmoja man u ikigombea nafasi ya kushiriki cl.
 
teh teh teh teh wewe jisie tuu ujinga ngoja kwanza ligi ichanganye ndio utakapo jua.ikiwa mechi 2 na man u mlicheza hovyo hovyo now unakuja kujigamba hapa hiyo mechi unayojisifia mlifungwa sasa sijui tukueleweje hivi mzima kweli ww au ndio kupenda upofu?
 
Ama hakika kukudume umenena........i hate style ya kupaki basi.......na ni kweli hawatafungika ila maana socer itakuwa imepotea.....
 
Kwa kwel wapizan wa Chelsea mtatukoma msimu huu maana lile game lilivyo chezwa dhid ya B.munic(super cup),sijaona timu ya England yakutu fungu sisi...makombe yote ye2 msimu huu... KUBALI USIKUBALI MWAKA HUU MTAKOMA KWA CHELSEA

Huyo Mourniho wenu hamalizi miezi 18 pale Standford Bridge. Mtu wa kulalamika kila wakati kwamba kaonewa. Kiboko yake Pep Guardiola. Mechi na Man U alipaki Bus lake kama kawaida. Safari hana watu kama Didier Drogba ana kazi ngumu kuliko alivyofikiria. Sio muda mrefu mtamkumbuka Raphael Benitez
 


wewe na ndo maana kamleta eto'o na esien,wapinzani kazi mnayo msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…