Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,447
- 21,160
Aiseee uko vizuri.... kitu cha njegere na ubwabwa au chapati?
Aiseee uko vizuri.... kitu cha njegere na ubwabwa au chapati?
tufuge kwa nyumba zipi mkuu? Tunanunua sokoni wale fresh kabisa. Kufuga nyumba zetu za kupanga hizi nafasi ndogo
Chapati zote lazima niweke sukari kiduchu na chumvi kiduchu yaan kama hakuna sukari sijui nazionaje walai.Chapati naona zina mafuta mengi mkuu. Hapo ukute uemtia na sukari kama hutatapika sijui
Sukari imenishinda kwenye chapati ya maji.Mie huwa nablend
Unga
Kitunguu
Yai
Sukari
Karoti kidogo sana
Hoho
Na kachumvi kadogo
Nasaga kwa pamoja kupata uji laini.
Ulipotelea wapi mama? Nilitaka nianze kukutafutaOooh wangu naona amenioa kwa mapenzi tu maanake hakuwahi kujua kama nafahamu kupika.
InategemeaSukari imenishinda kwenye chapati ya maji.
Naonaga inanoga ukiblend yai unga na chumvi. Ukishapata rojo ndo ukate kate kitunguu hoho na carrot unaikwangua.
Yummy Yummy....Duh nimetafuta weee sioni picha....burudika tu na hizi...View attachment 717924 View attachment 717926 View attachment 717928 View attachment 717929
View attachment 717924
Ukiweka sukari na chumvi zinataste vibaya. Pika za chumvi peke ake atapenda. Nilikaaga two yrs sili hizo chapati sababu siku moja bibi yetu alitupikia halafu akaweka sukari haki nilitapika nikaacha kula chapati za majiChapati zote lazima niweke sukari kiduchu na chumvi kiduchu yaan kama hakuna sukari sijui nazionaje walai.
Hiyo changamoto inabidi uziblend tu wasioneInategemea
Wanangu hawali wakikuta karoti na hoho zinaonekana.
Tanesco mama wanachonifanyia Mungu anawaonaUlipotelea wapi mama? Nilitaka nianze kukutafuta
Yummy Yummy....
Wewe unafaa kabisa kutembelewa aiseee, napenda kula acheni tu.
Pole jamani.Tanesco mama wanachonifanyia Mungu anawaona
Sema wewe ndio hupendi sukari, mimi zikiwa chumvi tupu siwezi kula lazima nitaweka sukari kwa juu.Ukiweka sukari na chumvi zinataste vibaya. Pika za chumvi peke ake atapenda. Nilikaaga two yrs sili hizo chapati sababu siku moja bibi yetu alitupikia halafu akaweka sukari haki nilitapika nikaacha kula chapati za maji
Switi asije tu kukuita ukamuoneshe kwa vitendoHahah mwanzo mgumu jamani...nikikuonesha chapati yangu ya kwanza kupika na baada ya kufundishwa na Evelyn Salt hutoamini...
unanifanya niache kazi nianze kutafuta picha sasa...
Mzigua.. Naomba mwaliko kwako. Nataka nijifunze unavyofanya. Chondchonde mkuu.tufuge kwa nyumba zipi mkuu? Tunanunua sokoni wale fresh kabisa. Kufuga nyumba zetu za kupanga hizi nafasi ndogo
Kweli sipendi sukari.Sema wewe ndio hupendi sukari, mimi zikiwa chumvi tupu siwezi kula lazima nitaweka sukari kwa juu.
Sema siku hizi sipiki. Ila najitolea kukufundisha kupika maana sio kwa chapati zileMzigua.. Naomba mwaliko kwako. Nataka nijifunze unavyofanya. Chondchonde mkuu.
Asante mkuu. Yaani nmechekwa hadi kwenye PM. Naomba unifichie aibu. Japo hupiki jitahidi siku hiyo upike.. Manake natia aibu. SALAMU hizi zimfikie Jolie Jolie.Sema siku hizi sipiki. Ila najitolea kukufundisha kupika maana sio kwa chapati zile
Ndo maana sinywi chai.Kweli sipendi sukari.