Hii bidhaa naweza kuipata wapi ndugu zangu?

chrisman49

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
352
77
Habari poleni na kazi viongozi, nawasilisha kwenu.

Ni ni waterproof iko katika form ya gundi, nahitaji ya ajili ya nyumba ya CONTEMPORARY.
 
Kama upo Dar nenda mtaa wa India wadosi wanajuwana nani ana nini.

Ila hiyo nyumba kuwa makini na fundi kama hajawahi kujenga hizo nyumba itavuja tu.
 
Kama upo Dar nenda mtaa wa India wadosi wanajuwana nani ana nini.

Ila hiyo nyumba kuwa makini na fundi kama hajawahi kujenga hizo nyumba itavuja tu.
Mtaa wa india upo sehem gani mkuu?
 
Clock tower, acha Samora avenue mtaa wa kushoto kuelekea Hindu Mandal, kuna hardware kibao za wadosi kushoto na kulia kabla ya kuikuta Morogoro road mwendo kasi.
Asante sana kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…