Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
tia neno basi!Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafanana na barabara ya kutoka magomeni hospital kuelekea tandale[emoji41]tia neno basi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inafanana na barabara ya kutoka magomeni hospital kuelekea tandale[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si waona zinavyofanana[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili gani iliyotumika hapo? Kuwawekea mikonakona isiyo hata na sababu, si wangepiga mkeka straight tu.akina mfugale huko walituliza akili
Ulisomea wapi Engineering mkuu?Akili gani iliyotumika hapo? Kuwawekea mikonakona isiyo hata na sababu, si wangepiga mkeka straight tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii Barbara hatari sana wakati wa usiku ..inaunganisha same na hedaru upande wa kusini-mashariki kaskazini
Sent using Jamii Forums mobile app