Hii 'back turn' ya Butiku ni ya mashaka


Cha ajabu hawatasema chochote kuhusu kuwaondoa, kuwashitaki, kuwawajibisha wale wote waliosababisha, kupanga na kutekeleza maovu,utekaji, ufiraji, utesaji, mauaji ya wananchi wakianza na genge la Samia kama chanzo cha machafuko yote haya.
 
Wanatuona Watanzania mapoyoyo sana.

Wanajitahidi kuwarubuni na Wazungu hasa baada ya wazungu kuwashikia chini huko ICC.

Wasilolijua ni kwamba mwaka huu vyovyote vile ICC lazima wamtolee hati ya kumkamata Mwenyekiti wao na washirika wake.
 
Siku hizi ni nadra sana kuwasikia wakisema hiyo slogan
Nawakumbusha!!

Kwamba chama changu ccm kinasimamia utu,haki,uwajibikaji!!

Kama hivyo vyote havipo basi hicho sio chama chetu no kitu kingine kilichojivika vazi la kijani!!
 
Ni kazi sana kujenga imani kwa jamii unaweza kutumia karibu maisha yako yote kuijenga ukaja kuipoteza uzeeni.
 
Hana lolote uyu mzee na likofia lake kama Mganga wa kienyeji, mnafiki tu
 
Huyu mzee jamii ilisha msoma na haina time naye, umri wa kuishi umekua mdogo alafu ajiona bado kijana, namchukia sana uyu mzee
 
Butiku ni kielelezo kwa nini Tanzania ni masikini.

Hawa ndio watu wameendesha nchi na kuwa karibu na rais kipindi chote cha Nyerere.

Nyerere naye sijui kawatoa wapi hawa ndugu zake wajingawajinga kawapa kazi vipi watu wanaonekana hawana uwezo?

Mtu hawezi hata kujielezea with logical consistency na anaonekana bado anaishi chini ya jiwe mpaka leo mshambamshamba haijui dunia anasema anapenda utawala wa kijeshijeshi, mjingamjinga tu.
 
Butiku ni shida
 
Butiku ni shida
Ujue Waafrika tunawasema sana wale Machifu waliowauza ndugu zetu utumwani, lakini hao Machifu bado wapo mpaka leo ndio hawa viongozi wetu na wazee kama hawa kina Butiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…