Hii ahadi ya Mo Dewji ni kichekesho tu maana anajua kabisa Kilimanjaro Stars hawana uwezo wa kuleta ubingwa wa CECAFA

Baada ya kuangalia mechi ya kwanza ya timu ya Kill Stars iliyochini ya Mgunda kama head coach namna ilivyo disorganized na inacheza bila mipango yoyote, MO amekuja na ahadi ambayo anajua kabisa hii timu haiwezekani ikafanikiwa na kuleta kombe la CECAFA.

Najiuliza tu kwa nini aseme saizi baada ya kuona mechi ya kwanza wakipigwa 1-0 na Kenya? Why hakuahidi kabla ya mechi zote kuanza? Kesho tunacheza na Wazenji ambao mara nyingi huwa wanakamia sana na hutufunga.

Kwa namna ile timu inavyocheza kwa wazenji lolote linaweza kutoka, tukipambana sana Tanganyika tunaweza pata sare.

MO anajua anachofanya, timu yetu bado sana.
View attachment 1287292
Hivi hawa tifutifu huwa wanapata wapi makocha wabovu kwa timu ya taifa??? kupeana mapande tu.
 
Angetoa kabla timu haijasafiri

Hata angeahidi kabla ya hiyo michuano kuanza bado mngeponda tu, msingekosa cha kusema!
...bila shaka wewe ni mfuasi wa mbute mbute, maana mkisikia jina la MO tu nilazima kiharo kigonge chupi!



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata angeahidi kabla ya hiyo michuano kuanza bado mngeponda tu, msingekosa cha kusema!
...bila shaka wewe ni mfuasi wa mbute mbute, maana mkisikia jina la MO tu nilazima kiharo kigonge chupi!



Sent from my iPhone using JamiiForums
Na siwezi kuwa mbumbumbu fc " never"
 
Back
Top Bottom