BakalemwaTz
Senior Member
- Jul 14, 2017
- 120
- 126
hapana rubii. huwa wanaenda na kuludi. na hii husababishwa na mabadiliko ya majira ya mwaka. i mean joto na baridi@ rubiii[emoji15] kwahiyo wanaweza wakaruka wasirudi tena?
Rubiikimimi[emoji85]
Ohooo Sawa mkuuhapana rubii. huwa wanaenda na kuludi. na hii husababishwa na mabadiliko ya majira ya mwaka. i mean joto na baridi@ rubiii
Infrastructure ni tatizo. Hakuna viwanja vya ndege wala hotel za maana kule. Watakuja kukaa wapi?tunahifadhi nyingisana mudamwingine nahisi na waTZ tupo ndani hifadhi ya......
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] kwahiyo wanaweza wakaruka wasirudi tena?
Rubiikimimi[emoji85]
[emoji13] nyama yao inaliwa? Nataka kuwa napiga route kama waoHapana mkuu, sasa wakibaki huko huko nani atapeleka makinikia yao, hawa wanapiga route kwenda na kurudi, 4 times a year.
[emoji13] nyama yao inaliwa? Nataka kuwa napiga route kama wao
Rubiikimimi[emoji85]
Dah, rubii unatisha kwa commet zako![emoji23][emoji13] nyama yao inaliwa? Nataka kuwa napiga route kama wao
Rubiikimimi[emoji85]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] mmmhNyama yao huwezi kula mkuu, ni ngumu sana kama tyre. We unafikiri route ya Tz to Ulaya mchezo. Wanakula sahani moja na kupishana tu angani na British airways.
[emoji28] nimewapenda hawa ndegeDah, rubii unatisha kwa commet zako![emoji23]
NOP HUWA Wana tabia ya kwenda na kurudi[emoji15] kwahiyo wanaweza wakaruka wasirudi tena?
Rubiikimimi[emoji85]
ahsante kwa jibu zuriHapana mkuu, sasa wakibaki huko huko nani atapeleka makinikia yao, hawa wanapiga route kwenda na kurudi, 4 times a year.
we are really blessedEden
Sent from my Device.