Karibu. Uko wapi ndugu? Tupigie 0755325442Hii mifuko naihitaji sana
View attachment 534676
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.
Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000
Tutakutumia ulipo.
FARMRICH Agro-Enterprises Ltd
Email: farmrichagro@gmail.com
Call: 0755325442
Ina mfuko usiopitisha hewa kwa ndani kama ule wa sukari.Hii ina nini cha ziada tofauti na ile ya kawaida inachoipa uwezo wa kuzuia uharibifu wa mazao?
Fukusi hana nafasi. Tested and confirmedFufusi kwa jinsi navyo wajua wabishi sijui kama watashindwa penya humo.
Ingredients zilizotumika kutengenezea hivyo vifungashio ni zipi?
Na mifuko hiyo ina uwezo wa kutunza nafaka kwa muda gani?
Mifuko inaweza kutumika hadi misimu mitatuIngredients zilizotumika kutengenezea hivyo vifungashio ni zipi?
Na mifuko hiyo ina uwezo wa kutunza nafaka kwa muda gani?
Mifuko inaweza kutumika hadi misimu mitatuNaomba ufafanue hiyo mifuko ina kitu gani kinachofanya mazao yasishambuliwe? Ni muhimu tafadhali.
Mifuko inaweza kutumika hadi misimu mitatuHii ina nini cha ziada tofauti na ile ya kawaida inachoipa uwezo wa kuzuia uharibifu wa mazao?
Mifuko inaweza kutumika hadi misimu mitatuDumuzi anazuilika kwa sumu tu. Lakini sibishi mkuu maana teknolojia ina change kila uchwao kua hii mifuko inaweza kua mkombozi kwa sisi wakulima na wafanyabiashara ya mazao.
Ni kweli ndugu, tumekuwa taratibu katika kusambaza habari. Hii inahitaji collaborative effort maana watanzania karibu wote wanahitaji kupata elimu hiiKampuni hii pamoja na wakala wenu tunawalaumu kwa kushindwa kujitangaza! Nilibahatika kuona makala juu matumizi ya mifuko hii kwenye kituo kimoja cha televisheni, kuanzia hapo sijawahi kuona matangazo yoyote juu ya mifuko yenu!