basi nifute machozi lovito
basi nifute machozi lovito
Kyalow haya hayakuhusu ujue.......nani mshika pembe kati yako na Figganigga kwa Heaven on Earth?
bestitoooo
nimepewa View attachment 116411kama kifuta chozi na kupunguza stress za siasani
nakuruhusu babito,nitafurahi sanaunaniruhusu nifanye hivyo......
Yeah, namuaminia sana kamanda wangu akienda yeye siasani sawasawa nimeenda mimi, lol!
nakuruhusu babito,nitafurahi sana
anatuwakilisha vyema mumeo........
hata mimi ilikuwa hivo,just enjoy thread kivyakoNimetoka kapa hapa.
bestito usione kiza ona nuru
nilijishaua kwenda jukwaa la siasa
mkong'oto nilioupata si mchezo
nimeshona mdomo kwa :tape::tape::tape:
hahaaaa una raha aisee..nani kakupa hiyo makitu
cousin kama wamekutoa ngeu
tupange shambulizi la ghafla
tuhakikishe meno ya seblen hawana!!
ladyfurahia mbona mie sielewi??
Pole cousin!!!
Nimetoka kapa hapa.