Na sio kila mwanamke anafaa kua mke,,yaaan mwana halaf kuna mke,,mke hakui,mke anasikiliza,mke anakuliwaza,mke anakutii,mke anakushauri mema,mke anakulinda,mke namaanjsha mke,ila wewe hna mwanamke ambae sio mke,so unaumia kutokana na mwanamke ulie nae ila ungepata mke yasingekua haya,,,najua nmekuchanganya sana ila nitakufafanulia usijali...
Tatizo lolote unaloliona kwa mwenzako sio yeye bali ni wewe,,tatizo lina sourse,sourse ya tatizo lako wew ni jinsi unavyomuona yeye,,na mbaya umempenda huyo mwanamke ila ukasahau kumpenda kama mwanamke unataka kumpenda kama mwanaume mwenzako,,ukishaingiza kumpenda na kumchukulia kama mwanaume mwenzako tatizo zoote utaziona kwake bila kujua chanzo ni wewe unaeona...
Wataalam wa saikolojia tunaamin kwamba wanawake wanasema vingi wasivyomaanisha na kusema vichache wanavyomaanisha..ndio silika yao hyo..kama wewe hupend chakula fulan ukikuta amepika unajisikiaje??? Ukijisikia vbaya bas jua tatizo ni wewe sio yeye.