Habarini bandugu,Niko Mbeya maeneo ya Mbalizi kikazi,mida hii nikiwa nipo mahali najaribu kusahu FRUSTRATION zangu mara ghafla na kutana na bia dume zao za TBL bia BINGWA,kwa kweli nilikua sijui kama bado inaendelea kuzalishwa imenikumbusha mbali sana miaka hiyo MTU akipiga bia nne kinachofuata na kuvua nguo.
View attachment 644678