[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hata mimi niliona ilo ila niaaamua niwe naishia kule kazini kwetu tu kwenye Sport uzi wetu wa kubeti..haya mambo yakina Daby na madem zake tuwaachie tu huku MMU
HayaTake it easy shem....me ntakua ndugu yako usijiskie mpweke
Mwanzoni na mm nilikua nawashangaa ikabidi tu niunge bodi nianze kuita binamu, jiran yoyote yule na sahv tumekua ndugu kweli[emoji12]
Pamoja Mzee!Embu bana wapunguze ukiwa mgeni humu unaweza jua facebook.
unashida kweli lakini hahah hahah u bamdogo bamdogo.
siku moja tena nimeweka uzi wangu hapa kilichofuata nikaitwa mchawi, ile siku nilipigwa ban maana nilichokifanya siri yangu sitaki kukumbuka.
haaanzishi nyuzi zozote kazi kumpumzikia za watu tsk
😀Wanaboa sana wale çcsmart,ccmahonda
Tusamehe shemeji