Hichi kinauzi hapa MMU

Of Course Inafanya Wengine Tujiskie Kuwa Marginalized Au Not Welcomed Here Maana Hatuna Ndugu Wa MMU,It Makes You Feel Kinda Lonely. But Hey Its Life Na Wameamua Ivyo,Bas Tu Wasiharibu Thread Za Watu Kwa Kupeana Salam Zao Za Kifamilia Na Kupeana Michapo Bila Ya Kuchangia Mada Husika. Nishaona Sana Izi "Nakuona Dada Upo" "Nakusalmia Shangazi Au Shem" "Kaka Umepotea Nimekumiss",And Trust Me Kujuliana Hali Kunakofuatia Hapo Sio Kwa Inji Hii!
 
Chill Out Bro. Its Nature Of People Tatizo Halijawakuta Wao...Hope Ulipata Ushauri Murua Wa Tatizo Lako... Your Message Has Been Sent.
 

Embu bana wapunguze ukiwa mgeni humu unaweza jua facebook.

unashida kweli lakini hahah hahah u bamdogo bamdogo.

siku moja tena nimeweka uzi wangu hapa kilichofuata nikaitwa mchawi, ile siku nilipigwa ban maana nilichokifanya siri yangu sitaki kukumbuka.

haaanzishi nyuzi zozote kazi kumpumzikia za watu tsk
 
 
Ni kweli inakera, ukute mtu ana tatizo serious anataka kusaidiwa mawazo, wakiitana tu mamdogos, shemejis, wifis uzi wote unaharibika.
 
Take it easy shem....me ntakua ndugu yako usijiskie mpweke

Mwanzoni na mm nilikua nawashangaa ikabidi tu niunge bodi nianze kuita binamu, jiran yoyote yule na sahv tumekua ndugu kweli[emoji12]
 
rafiki ngoja kwanza pole aisee... pili mkuu sehemu yoyote yenye mkusanyiko na mnaongelea jambo fulani , si wote wanakuwa pale kwa ajili ya hilo jambo wengine watasalimiana , watakumbushiana ya nyuma, wataonyeshana watu na kucheka .. sasa mkuu haina tofauti na jf we kuwa mpole subiria watakao kushauri
 
hata mimi niliona ilo ila niaaamua niwe naishia kule kazini kwetu tu kwenye Sport uzi wetu wa kubeti..haya mambo yakina Daby na madem zake tuwaachie tu huku MMU
Hapana mkuu, MMU ni ya kila member wa JF. Naona wengi wamepigwa ban humu hivyo mods please msije mkanipiga ban najibu maana nimetajwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] inaboa lkn ndo hvyo humu watu washakua ndugu tena daby ndo jf nzima ndugu zake

Jiran i miss you sijui umetekwa wapi
Nipo. Inabidi tupunguze hizi conversation kuepusha kuwabughudhi watu maana kweli hadi wameanzisha uzi walichukia
 
Unabusara sana mkuu,
Hili jambo la kuharibu thread ya mtu anaye talka ushauri nililiona kitambo tu,

Nawapongeza Mods wameanza kulifanyia kazi na heshima itarudi,

OMBI LANGU KWA JF MODS
Tungeni sheria ya kudhibiti hili jambo ili kuboresha zaidi jukwaa letu pendwa

Cc: Maxence Mero
 
watalifanyia kazi i hope so..leo naogopa kukaa jf
 
Usiogope kukaa jf bali ogopa lugha mbaya na matusi.
Hongereni mods kukomesha lugha zisizo na staha na poleni mliofikwa na mkasa huu mtakuwa mabalozi wazuri mkirudi, mliko ombeni toba na kuamua kuacha kejeli na lugha hizo umiza.
sawa mkuu
 
Inabidi chit chat tuhamishie jukwaa husika aise. Ila wengine ndohivo tushazoea kuchakachua kidogo
Ndiyo hivyo japo mimi mtu akiniambia namkera kwenye uzi wake huwa naondoka haraka tu. Kwema lkn? Twende chit-chat au kwenye uzi wangu hapa tutachezea ban.

Cc cookie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…