Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
[emoji23]hata mimi niliona ilo ila niaaamua niwe naishia kule kazini kwetu tu kwenye Sport uzi wetu wa kubeti..haya mambo yakina Daby na madem zake tuwaachie tu huku MMU
Wenzako wanaitana shemeji, wengine ni mashemeji kweli. Raha ya MMU watu wanaweza kutafunana humu balaa.
Mleta uzi, humu kuna uwezekano wapo watu wanaenda zaidi ya 'urafiki', take it easy man!!!!
Sasa kwenye huo Uzi wewe ulikuwa mtazamaji ???NIMEKUMBUKA UZI MMOJA
Memba mmoja kaomba msaada sasa badala ya msaada wakaanza kuitana ma ba mdogo, wifi, shemeji n.k ulienda mpaka page ya 30 hakuna ushauri wala nini ni ushemeji shemeji tu utafikiri wanajuana.
mbona kwenye nyuzi za magari hawaitani, intelligency ndo kabisa ila hapa sasa akiingia huyu jamaa Daby basi upepo unabadilika kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] inaboa lkn ndo hvyo humu watu washakua ndugu tena daby ndo jf nzima ndugu zake.NIMEKUMBUKA UZI MMOJA
Memba mmoja kaomba msaada sasa badala ya msaada wakaanza kuitana ma ba mdogo, wifi, shemeji n.k ulienda mpaka page ya 30 hakuna ushauri wala nini ni ushemeji shemeji tu utafikiri wanajuana.
mbona kwenye nyuzi za magari hawaitani, intelligency ndo kabisa ila hapa sasa akiingia huyu jamaa Daby basi upepo unabadilika kabisa
MMU ni kitu gani
Mkuu nimegundua wazoefu na wakongwe wanapeana supportNIMEKUMBUKA UZI MMOJA
Memba mmoja kaomba msaada sasa badala ya msaada wakaanza kuitana ma ba mdogo, wifi, shemeji n.k ulienda mpaka page ya 30 hakuna ushauri wala nini ni ushemeji shemeji tu utafikiri wanajuana.
mbona kwenye nyuzi za magari hawaitani, intelligency ndo kabisa ila hapa sasa akiingia huyu jamaa Daby basi upepo unabadilika kabisa
Mjomba umeeleweka sema uvumilivu ni suala la msingi bamdogo... Ila vp shemeji hajambo?Habari
Hapa MMU kumekuwa na tabia ya baadhi ya memba ku-tag-ana wakati mtu anashida ya ushauri.
Wengine wanaenda mbali sana mpaka kuitana mashemeji, ba' mdogo, wifi, mjomba nk. unakuta uzi unajaa u ba mdogo na u shemeji ushauri hamna.
wengine ni kusifiana jana walikuwa wanakula bata, wengine walipeana out, wengine walilewa, wengine waling'oa watto wazuri na mengineyo. mtu anataka ushauri lakini masihara mengi na utani usio na maana.
MAONI YANGU
Ingekuwa vizuri zaidi mkaanzisha uzi maalumu kama MAKAPUKU FORUM mkaachana na kuaribu nyuzi za wengine wanaohitaji ushauri.
Asanteni
mkuu nyuzi za namna hiyo huwa sicoment!Habari