Mkuu Osaba, we ni mzoefu kabisa hili jukwaa! Sawa detailed specifications hujatoa lakini sasa hata PICHA?Toyota Hiace custom inauzwa bei ni Tsh 9m, cc 2200 tu, petrol , sports rims and well maintained, if ur interest just pm me.
Samahanini sana mtandao unasumbua sana kwenye kuupload picha ukikaa sawa nitaziweka
Toyota Hiace custom inauzwa bei ni Tsh 9m, cc 2200 tu, petrol , sports rims and well maintained, if ur interest just pm me.
Nitumie namba yako na pichaToyota Hiace custom inauzwa bei ni Tsh 9m, cc 2200 tu, petrol , sports rims and well maintained, if ur interest just pm me.
Toyota Hiace custom inauzwa bei ni Tsh 9m, cc 2200 tu, petrol , sports rims and well maintained, if ur interest just pm me.
ya mwaka gani?
Gari nzuri mkuu.
Ni 1kz au 2rz?
![]()
Namba haionekani vizuri ni AZN au ASN?