Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Umekuwa FARAJA YANGU mara nyingi
,'*,"*,*''*',
''*"*,'*','*',*
\______/
Pokea kapu lililojaa maombi 7.
1.Mungu akupe neema ya kuishi milele.
2.Akukinge na mabaya yote yanayo kuandama.
3.Akufungulie mlango wa baraka
4.Mto uliofurika mema uelekee kwako
5.Watu wabaya wakusahau bali wema wakukumbuke daima na milele.
6.Akusamehe kama unavyo wasamehe waliokukosea
7.Akupe moyo wa kuvumilia mapito ya Dunia.
MUNGU atakubariki.
''''''Amen.
Amen........

Na huu ni ujumbe mahsusi kwa mtu gani?
Kwa yeyote aliousoma hata wewe mkuu.