HI

HI

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Si kwa uzuri wako,

Si kwa upole wako,

Si kwa wema wako,

Si kwa tabia yako,

Si kwa upendo wako,

Si kwa hekima zako,

Si kwa utu wako,

Si kwa utajiri wako,

Si kwa usomi wako,

Si kwa hadhi yako,

Si kwa kabila lako,

Bali ni kwa Mapenzi ya MUNGU nimeguswa nikutakie, ASUBUHI NJEMA
 
Ahsante nilihis unajisifkaa kumbe watupa salamu ubarikiwee
 
Si kwa uzuri wako,

Si kwa upole wako,

Si kwa wema wako,

Si kwa tabia yako,

Si kwa upendo wako,

Si kwa hekima zako,

Si kwa utu wako,

Si kwa utajiri wako,

Si kwa usomi wako,

Si kwa hadhi yako,

Si kwa kabila lako,

Bali ni kwa Mapenzi ya MUNGU nimeguswa nikutakie, ASUBUHI NJEMA

kila siku ingekuwa hivi. hesabu zingekuwa zinasoma milioni kila siku
 
Back
Top Bottom