hi members

hi members

Joined
Jan 31, 2012
Posts
5
Reaction score
1
naomba msaada make nilichomeka USB kwenye camera na kwenye laptop matokeo yake camera imeziama na kuacha lens nje kama kuna mtu anaweza kutatua tatizo hilo naomba msaada
 
naomba msaada make nilichomeka USB kwenye camera na kwenye laptop matokeo yake camera imeziama na kuacha lens nje kama kuna mtu anaweza kutatua tatizo hilo naomba msaada

Hiyo camera yako ni aina gani na model gani

Inawezekana sio tatizo. May be ukichomeka camera imeset iwe detected kama external storage na sio camera ndio maana inajizima.

Hatua ya Kwanza tafuta operational manual ya camera mtandaoni utoka kw watengenezaji
 
Back
Top Bottom