Hi lugha noma!

Hahahahahahahahahaha, utafiti na wewe ni ukawa?
 
Last edited by a moderator:
UKAWA

Mwenye data naomba msaada ni nini?
 
Mwandishi mtumwa......tanzania uhuru wa mwandishi bado kabisa sio kwa magazeti ya serikali wala kwa binafsi
 
niliposoma kichwa cha habari nilistuka mwandishi kutumia neno wadinda huo ni ukosefu wa maadili kabisaa
 
niliposoma kichwa cha habari nilistuka mwandishi kutumia neno wadinda huo ni ukosefu wa maadili kabisaa
mkuu si hili gazeti tu,mengi sana huwa wanatumia lugha mbovu
 
Mwandishi mtumwa......tanzania uhuru wa mwandishi bado kabisa sio kwa magazeti ya serikali wala kwa binafsi
inaonekana waandishi wengi wametawaliwa na lugha ya mtaani kuliko lugha halisi
 
Mkuu hapa bongo ndio tulivo kama hatukudanganywa basi huwa hatana hamu lakini tukidanganywa basi tunayapapatikia na kwa muda utasikia yamekwesha na ya kidoda ni hasara lakini ninawahurumia sana walala hoi wenzangu kwa kutomudu bei yake na akilinganisha na pato lake au kamshahara kake kamkia cha mbuzi basi hapo itambidi agandi kwenye hiyo meza ya magazete na kudurusu utasema kabandikea miguu chini super gruu
 
nakumbuka gazeti la sport ilishawahi kuandika kichwa cha habari kwa herufi kubwa "KUMAMAKE YANGA NOMA" na haikuchukuliwa hatua
 
Alikuwa anamaanisha UKAWA wamewagomea CCM,ila hi lugha haifai

Asante, Kote nimeshaelewa kwa msaada wako ila hapo nyekundu bado umeniacha tena
 
niliposoma kichwa cha habari nilistuka mwandishi kutumia neno wadinda huo ni ukosefu wa maadili kabisaa
hizi ni heading ambazo zinatumiwa na wahariri wa magazeti. kiproffessinal heading lazima iwe katika lugha fupi na ya kuvutia sasa bas kama mawazo na akil zako zinawaza kudinda utastaajabu sana utakaposikia neno hilo kutumika hapo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…