Hi, in here!!!

Kanguni

Member
Joined
May 9, 2011
Posts
26
Reaction score
1
Amani kwenu wanaJF wote, naomba nafasi kwenye siti za nyuma kabisa... Pamoja, au c o?
 
siti zipo za kumwaga karibu sana!
 
kwanini upende nyuma? wewe kamerun au? karibu mwaya, lakini urekebishe mwandiko wako au wewe doctor? andika siyo si co. Mia
 
karibu siti za mbele sio za nyuma.
 
Karibi ila sijui kwanini umependa nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…