PISTO LERO JF-Expert Member Joined Mar 8, 2011 Posts 2,819 Reaction score 1,458 Apr 6, 2012 #1 Leo asubuhi mazungumzo yanayo gonga vichwa vya habari katika kona mbalimbali za jiji la arusha,vijana wengi wanapendekeza chadema imwombe mke wa Godless lema agombee.wanajamvi mnasemaje kuhusu hilo?.
Leo asubuhi mazungumzo yanayo gonga vichwa vya habari katika kona mbalimbali za jiji la arusha,vijana wengi wanapendekeza chadema imwombe mke wa Godless lema agombee.wanajamvi mnasemaje kuhusu hilo?.
I isotope JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 2,392 Reaction score 817 Apr 7, 2012 #2 Chadema iko makini itavuka salama ktk hili na itaendelea kukalia jimbo.
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Apr 7, 2012 #3 Searching...100% Loading...40%