IRIOKO
JF-Expert Member
- Jan 19, 2016
- 279
- 268
Ohk hapo nakushauri ECA , EGM, HGE, HGLEng - B
kozi za sanaa kwa soko la Tanzania lilivyo ni maumivu!!
Ohk hapo nakushauri ECA , EGM, HGE, HGLEng - B
Dunia ya sasa kusoma kwa kubet ni kupoteza muda, Usipende kupanga maisha yako kama unaandaa mkeka. Take ur time, fikiria unapenda nini then fanya maamuzi ambayo utayapigania kufika unakotaka kufika.Nina hizi marks
Div II pts 20
B/Keeping - C
Commerce - C
Maths - D
History - C
Geography - C
Civics - C