Na kama ukifanikiwa kupata nafasi...sahau kuhusu alevo!! Komaa kiume mpaka kieleweke!!
Kazana sana uwe njema kwenye COMPUTER PROGRAMMING maana hii ndio injini ya computer science/IT!!
Watakuambia IT haina soko...ila ukiwa njema kwenye programming jua una nafasi nzuri ya ku-win!!!
Kila la heri!!