Hezbullah wameisha mchapa Israel

Hezbullah wameisha mchapa Israel

uko wap wewe Israel anashambulia lebanon sasa hiv....doh
haha dogo wame exchange fire baada ya Hezbullah kuwachapa.

Yani Israel anarusha kwenye por kuchoma majani wakati Hezbullah kaingia ndani kabisa na kuripia army vehcle inayo chukua watu wanane.

Cha msingi Israel kala kichapo wanajeshi 6 wamekufa na mmoja wao ni mkuu wa kikosi na wawili wako mahatuti yani watafia hospital.
 
Hakuna ata aliechibuka, hakuna kitu ! Waziri Mkuu Lebanon anaiomba USA na France Ziwazuie Israel. Aljazeerah wanasema Israel anatafuta sababu ili aanze chapa chapa kwa kisingizio cha Hizbullah wameanza, wanasema kwamba Netanyahu kwa siku 3 amemuomba Trump ruhusa ya kuruka juu ya Iraq( Trump hajamjibu) nia yake wakati anapigana na Hizbullah anataka akaripue ile mivinu ya Nuclear kule Iran, kwa maelezo kwamba anamsogelea Iran kamdhibiti. USA asipokubali Israel anasema atakwenda peke yake.
Eti aende tehran[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakua mwehu labda
 
But when the smoke cleared, the IDF stated: “There are no injuries or fatalities to our troops.”

Hezbollah retaliated against Israel, but they failed to hit their mark.

Source: jpost
 
Dah! hiyo Mashariki ya kati ni noma juu ya noma!
 
But when the smoke cleared, the IDF stated: “There are no injuries or fatalities to our troops.”

Hezbollah retaliated against Israel, but they failed to hit their mark.

Source: jpost
Hii ndio itamponza Natanyahu kwa kusema uwongo, hezbullah atawachia video kuonyesha alicho kifanya tulizenu ball.

Angalia Helicopter ya Israel inachukua walio umia, dalili wazi Israel huwa hasemi ukweli.

 
But when the smoke cleared, the IDF stated: “There are no injuries or fatalities to our troops.”

Hezbollah retaliated against Israel, but they failed to hit their mark.

Source: jpost
Hahaha nimecheka kinomaaah eti hakuna vifo wala marejuhi bahat nzuri waandishi wa habari walipiga picha maiti na majeruhi zikiwa zimelowa damu vibaya mnoo mwambieni bibi ashachelewa kuficha huo uongo wake
Kuna kipindi walipigana na hamas kitu kama 2014 hivi vita vya gaza ambapo Israel ilipoteza wanajeshi 800 hivi ila hawakusema.....ila ikaja kugundulika
 
Back
Top Bottom