Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,063
Kwasasa Israel ndio uwanja wa kufanyia test au majaribio ya Silaha za wahuni !!Ujumbe ndio huo safari hi Hezbullah ataishambulia Israel sio target za kijeshi tu, kaona Israel ime cross red line na serekali ya Lebanon haijibu mashambulizi ya Israel.
Yule Puppet wao walio mueka Syria wanataka wamtumie kupigana na Hezbullah na kwa njia ya kusingizia kuprotect wasipitishe drugs na silaha Syria.
Tegeni masikia yajayo si mazuri kwa Israel, ikiwa Missiles 500 za Iran ilibidi Israel apige magoti kuomba vita visimame. Ataweza kupokea kichapo cha Missiles zaidi ya 7000 zile heavy missiles sidhani.
Siku zitaongea mda si mrefu.
We baki wamini Israel kama waliwashinda Hezbullah ni serekali ya Lebanon ndio iliwatia pressure wasimamishe vita baada ya US kuwahonga huko mapuppets zake. US kila kukicha anawatia pressure serekali ya Lebanon eti Hezbullah ni group la Terrorist hahaha yeye ndio mkubwa wa ma Terrorist duniani.Source Tomato source
US anatia kweli pressure kule Lebanon ili Hezbullah wasalimishe silaha ndio watawapa msada hahaha. Hezbullah kisha wambia serekali tunataka jibu kwanini mnataka silaha zetu tusalimishe wakati hamtaki Israel asalimishe silaha zake au asishambulie Lebanon. Hezbullah anawauliza serekali kila kukicha Israel anashambulia Lebanon hi ndio ceasefire mlio sign hahaha OK basi jibuni shambulizi serekali kimya. Official Hezbullah karibu watakiwasha na serekali ya Lebanon wameisha ambiwa mkitaka roho zenu zitoke sogeleni silaha za HezbullahKwasasa Israel ndio uwanja wa kufanyia test au majaribio ya Silaha za wahuni !!
watu washashoka na tabiya ya Israel kujifanya ndio M'babe!!! kisa yeye anae Baba !!
Wahuni kwasasa hawana kizuizi uyu au Mtoto wahuni wanapelekea MOTO tu !!
uyo Baba juzi kati kazikimbia kambi zake Mashariki ya kati.. !!!
wajuzi wanadai Israel ilijipanga kwa miaka mingi kufanya kile walifanya pale Iran !!
lengo kuu kuuwa Viongozi wakuu wote akiwepo Ayatollah na kunamapinduzi yalipangwa baada ya kuuwawa Ayatollah!!!
Wairan kwasasa wameelewa dhana ya kucheka na nyani!!!!
So yajayo yanafuraisha mwaka huuuuuu Israel kayatimba kinomaa. Wanaume wanataka kuwasha MOTO wakuzima ajulikani nani..
Vitaa inaamka upya wale walokole waliodai Hezbullah kwishaa tunaomba msikimbie Uzi kazi ikianza chonde chonde. Tunawapenda sana kondooo waliopotea!!!
Hezbollah ndio kaitoa Lebanon kuwa failed state mpaka hapo ilipo. Wameanzishwa kwa lengo la kumtoa Israel Lebanon na wakafanikiwa na baada ya kumtoa wakaanzisha Hospitali, Shule na Huduma mbalimbali za jamii.Maeneo waliopo Hezbollah halafu na nchi ya Sudan and Yemeni ni masikini sana, in fact wapo kwenye kiwango cha UFUKARA kabisa but wanao uwezo wa kununua silaha nzito na za gharama sana, Iran as well; watu wanafikia hadi hatua ya kuuza figo ili maisha yaende but serikali za nchi hizi zimewekeza kweli kweli kwenye security, Korea na Cuba pia zipo kwenye wigo huo huo lakini wananchi wao hata uwezo wa kununua magari ya mtumba kutoka Japan ni kipengere hasa, TV na mobile phones changamoto kubwa sana kwao; why all of this?????? Halafu hawana ugomvi na yeyote isipokua wao ndio wanatafutaga maadui, only Cuba walau ndio USA alianza kumchokonoa since miaka ya 1950, interesting
Huna unacho kijua kuhusu Lebanoni, mji wao wa Beirut kwamfano, it was a Newyork of middle east kabla ya wapumbavu wanaowaza kupigana muda wote. Nenda katafiti why Misri, Jordan, Saudia, Iraq, Kuwait nk hawataki kabisa kuwakaribisha Wapalestina ambao ndio hao Hezbollah wa huko Lebanon?Hezbollah ndio kaitoa Lebanon kuwa failed state mpaka hapo ilipo. Wameanzishwa kwa lengo la kumtoa Israel Lebanon na wakafanikiwa na baada ya kumtoa wakaanzisha Hospitali, Shule na Huduma mbalimbali za jamii.
Education na Health system yao ndio Best hapo Lebanon na wanasoma wao Shia na makundi ambayo ni Friendly kwao kama Wakristo wa Maronite.
Kuwaita tu Hezbollah ni wapalestina kunaonesha ulivyo mweupe Siasa za Middle East.Huna unacho kijua kuhusu Lebanoni, mji wao wa Beirut kwamfano, it was a Newyork of middle east kabla ya wapumbavu wanaowaza kupigana muda wote. Nenda katafiti why Misri, Jordan, Saudia, Iraq, Kuwait nk hawataki kabisa kuwakaribisha Wapalestina ambao ndio hao Hezbollah wa huko Lebanon?
Hezbollah walishatenguliwa kiuno na sasa hivi wanachechemea hawana uwezo wa kuishambulia Israel kiboko ha waarabu!!Ujumbe ndio huo safari hi Hezbullah ataishambulia Israel sio target za kijeshi tu, kaona Israel ime cross red line na serekali ya Lebanon haijibu mashambulizi ya Israel.
Yule Puppet wao walio mueka Syria wanataka wamtumie kupigana na Hezbullah na kwa njia ya kusingizia kuprotect wasipitishe drugs na silaha Syria.
Tegeni masikia yajayo si mazuri kwa Israel, ikiwa Missiles 500 za Iran ilibidi Israel apige magoti kuomba vita visimame. Ataweza kupokea kichapo cha Missiles zaidi ya 7000 zile heavy missiles sidhani.
Siku zitaongea mda si mrefu.
Endelea kujitoa ufahamu tu!!Habari njema hizi
We kenge tulizana, Israel ni nani wewe kila kitu anapewa na USA, warabu wanapigana na USA. Israel ni chui kwenye picture dalili alipo ingia Iran ilibidi huyo anaye pigana nyuma ya pazia aingie mwenyewe. Kwa sababu gani. Israel hana B2 Israel angekuwa nazo huyo huyo USA angejidai ni Israel ndio kapiga wakati USA ndio anapiga.Hezbollah walishatenguliwa kiuno na sasa hivi wanachechemea hawana uwezo wa kuishambulia Israel kiboko ha waarabu!!
Pumbav , hao nani alikwambia Hezbollah walitepweta wewe bwege ? , unawajua Hezbollah unawasikia wewe,yaani Houthis Marekani +Saudia +mashoga ya Israel wameshindwa kuwamaliza mpaka leo ,na wanaendelea kuwasha moto red sea na ndani ya Israel na wanabonda mpaka drones ,ndege na meli za kibaka USA zinasogeza pua zake hapo Red sea,Leo hui mje muwaweze Hezbollah ? ,hizo habari zenu huwa mnaziokota kwenye vijiwe vya wapi ninyi ndezi ? , Tatizo ni kushindwa kuelewa kiingereza mnashindwa kufuatilia news za ulimwengu toka kwenye credible sources ,mpo mpo tu kama mazombi mnafuatilia udaku wa uswahilini toka kwenye takataka za Bongo hapa , yaani Israel ndio aliyetoa milio ya kuomba poo na kutaka maridhiano ya kusitishwa mapigano halafu useme Hezbollah alitepweta ? , Jamii forum kuna mazwazwa sana siku hizi ,yaani ni sawa na leo hii useme Iran alitepweta wakati tunajua nani alikula kisago na kukimbilia kuitisha mazungumzo ya kusitishwa mapiganoHezbollah alishabaki mtepweto akijaribu kurusha hata jiwe Israel ndo atamaliziwa kabisa. Israel anaendelea kumtwanga kimya kimya na anamskilizia ajifanye kujibu ili Israel apate sababu ya kumpelekea moto wa kutosha
Ushuzi mtupu umeandika hapa 🚮🚮🤭🤭Pumbav , hao nani alikwambia Hezbollah walitepweta wewe bwege ? , unawajua Hezbollah unawasikia wewe,yaani Houthis Marekani +Saudia +mashoga ya Israel wameshindwa kuwamaliza mpaka leo ,na wanaendelea kuwasha moto red sea na ndani ya Israel na wanabonda mpaka drones ,ndege na meli za kibaka USA zinasogeza pua zake hapo Red sea,Leo hui mje muwaweze Hezbollah ? ,hizo habari zenu huwa mnaziokota kwenye vijiwe vya wapi ninyi ndezi ? , Tatizo ni kushindwa kuelewa kiingereza mnashindwa kufuatilia news za ulimwengu toka kwenye credible sources ,mpo mpo tu kama mazombi mnafuatilia udaku wa uswahilini toka kwenye takataka za Bongo hapa , yaani Israel ndio aliyetoa milio ya kuomba poo na kutaka maridhiano ya kusitishwa mapigano halafu useme Hezbollah alitepweta ? , Jamii forum kuna mazwazwa sana siku hizi ,yaani ni sawa na leo hii useme Iran alitepweta wakati tunajua nani alikula kisago na kukimbilia kuitisha mazungumzo ya kusitishwa mapigano