We kapime akili zako we huoni wamefungwa mikono yao hata wakiwachiwa hizo silaha nyuma watazibeba vipi tupe akili 😄Huu ni uongo huoni hao askari wametekwa halafu wakaachiwa rifle kwa nyuma. Akili mnemba inapotosha sana watu siku hizi.
Hezbullah huwa hasemi uwongo hio itakuwa habari ni ya kweli kabisa, wacha nikachungulie channel yao Al Manar takuja na habari ya uhakika.Wanakumbi.
🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI
Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.
Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.
Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.
Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive
=========================
View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanakumbi.

Sasa hapo wanaume wangapi na wanawake wangapi 😁😁😁😁😁😁Wanakumbi.

Mumeo unakqa nae mdagan ama hezbollah wamekuwa mabwana zenu Khan kila asbh hezibollah bo...Wanakumbi.
🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI
Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.
Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.
Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.
Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive
=========================
View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hakuna lolote wanacheck kama wamemuwa kama yale yale ya uwongo wa Hashim Seif Din wa Hezbullah wamesema wamenuwa kumbe hamna lolote.— ❗️🇮🇱/🇵🇸 BREAKING: Hamas leader Yahya Sinwar has been killed by an Israeli airstrike in Gaza
Images above of Yahya Sinwar's body after the airstrike. Many viewers will find the images shocking, so proceed with caution.
@Middle_East_Spectator
Unazungumzia Iron Dome hii hii ambayo ilishindwa kuzuia ile drone iliyoangamiza wanajeshi 4 na kuacha wengine zaidi ya 50 majeruhi au Kuna nyingine kutoka sayari ingine?Juzi nilisoma mahali Hezbollah wana track iliyombeba Netanyahu. Muda sio mrefu wataikutanisha na drone, maana mabomu yanapunguzwa kasi na Iron dome.
jipe moyo, mayahudi walikuwa wanatafutwa siku nyingi sasa wameingia kwenye engoHuu ni uongo huoni hao askari wametekwa halafu wakaachiwa rifle kwa nyuma. Akili mnemba inapotosha sana watu siku hizi.
Hio hio kaka, haisomi drones kabisa, eti inafananisha drone na "birds". Iron dome tuliyokuwa tunaaminishwa kwamba ni impenetrable, lakini tumejionea picha za simu ambazo ni uncensored zikituonesha kufeli kwa iron dome. Israel ni wepesi sana, wakikosa msaada wa USA na nchi za Ulaya.Unazungumzia Iron Dome hii hii ambayo ilishindwa kuzuia ile drone iliyoangamiza wanajeshi 4 na kuacha wengine zaidi ya 50 majeruhi au Kuna nyingine kutoka sayari ingine?
Kawaida ukisikia serikali duniani kama Israel inakiri kuwa ilishambuliwa na wanajeshi kadhaa wameuwawa. Basi ujue hilo shambulio halikuwa la kitoto kiasi ya kwamba limeshindwa kufichwa na mamlaka. Hivyo ukisikia kuwa waliuwawa wanajeshi wa4 ujue wametoa sifuri ya mbele tu. Lakini kiuhalisia walikufa wanajeshi 40.
Wanakumbi.
🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI
Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.
Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.
Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.
Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive
=========================
View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ona ili kubwa jinga mwaka wa kumi huu hata kuandika vizuri alijui,sasa ndio umeandika nini hapa we kiazi!!?Mumeo unakqa nae mdagan ama hezbollah wamekuwa mabwana zenu Khan kila asbh hezibollah bo...