Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,902
Katika hali inayoshtusha Muungano wa Nchi za Kiarabu zimelitangaza kundi la Hezbollah linalofanya shughuli zake za kisiasa nchini lebanon kuwa ni Kundi la KIGAIDI. Mawaziri wa nchi za Kiarabu walikutana na wote kwa pamoja wametoa tamko hilo kulilaani kundi hili la Hizbollah.
kund hili la Hezbollah ambalo ni la waislamu wa madhehebu ya Shia limekuwa likipigana nchini syria likiiunga mkono serikali ya Bashar al-Assad. na tamko hilo limetolewa baada ya Hassan Nasrallah kuwashutumu Saudi Arabia kuwa wamekuwa wakitaka kuwanyamazisha Hezbollah.
akaendelea kusema kuwa saudia arabi imewakasirikia kwa kuwa wao wamekuwa na uwezo wa kuisema familia hiyo yenye koo ya mtume pasipo woga. hassan alisema yeye amekuwa na uwezo wa kuisema familia hiyo inayoogopwa kutokana na historia ya dini ya kiislamu.